Kenya: Uhuru kuhudhuria sherehe za kuwekwa wakfu kwa Mafuta Matakatifu huko Murang’a
Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuhudhuria Uwekaji Wakfu wa Mafuta Matakatifu katika Kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa (AIPCA) Gakarara eneo la Kandara, Kaunti