RAIS Uhuru Kenyatta analiongoza taifa leo Jumatatu kumpa heshima zake za mwisho, Rais mstaafu Mwai Kibaki aliyefariki Ijumaa wiki jana. Tayari, mwili wa kigogo Kibaki
Tag: Mwai Kibaki
Mwai Kibaki alikuwa mshauri mkuu na rahisi kufanya kazi naye – Nicholas Ng’ang’a
Ni kwa huzuni kubwa na hisia kubwa ya hasara kwamba nilipopata habari kuhusu kifo cha Rais mstaafu Mwai Kibaki. Ingawa sijapata fursa ya kufanya kazi